any experience?
Tikiti Kubwa Lina Maji Mengi; Ukichovya Mdomo Unalowana hadi Kwenye Nyele za Kidevuni; Kitiki Lilotamu ni Lenye Umbo Jembamba; Hii ni Sawa na "Nyama" Kwani Ile iliyokaribu na Mfupa ni Tamu kuliko Zote. Makubwa yana Maji mengi na yale Maji hata yanalowanisha mavazi.
asante huko kwingine ni wewe upime tu!!
binafsi sizungumzii uzoefu wa sasa..
ila ninaamini ninachokisema ukirudisha siku nyuma. naweza kudhibitisha
hapana hapa na pingana na wewe, inawezekana wewe ulichagua tikiti lililoharibika mkuu..
walah matikiti madogo ndiyo yenye maji mengi...
Hauko Sahihi Rudia Zoezi hilo, Yanapatikana Mengi Maeneo ya Mbagala na bei ni Nafuu zaidi Kuliko sehemu nyingine kwa Dar; Unaweza kuanza na dogo Maana utalimaliza , Usije kuanza na Kubwa kwa sababu Hautalimaliza Litakukifu Naamini waweza hata Kulitupilia mbali.