Utamu wa tikiti ukubwa wake unahusika

Utamu wa tikiti ukubwa wake unahusika

Dogo na la wastani ndio pekee yanayoweza kunipa stimu za kuyala tena na tena na tena... hayanikifu na sikinai kula vipande kadhaa na wala nisiwe na haja ya kutafuta msosi mbadala... breakfast, tikiti maji langu; lunch tikiti maji langu... dinner na kadhalika na kadhalika na kitachofuata ni kuweka bustani kabisa ili niachane na usumbufu wa kila mara kwenda gengeni!
 
Hiyo ya Kutest Ndo Naisikia kwa mara ya kwanza toka kwako; Hii ya Kutest Ipo Bongo tu labda; Lakini hata bila ya Kutest Mara nyingi kama sio zote Bei ya Tikiti Inareflect Ubora; Hivyo kama Hauna uhakika jaribu Kufuata Bei.

High Price always reflect Quality ya Tikiti, likewise Low Price means low poor quality. Hizi Wanazitumia Wadachi ( Amsterdam na The Hague) maana matikiti ya kule yanauzwa kutokana na ubora na Masoko yako sehemu tofauti kabisa kiasi kwamba haupati shida ya Kuulizia bei.

Teh teh ya Amsterdam haya!
 
Matikiti makubwa mara nyingi yanakuwa yameoza ndani kwa ndani...lakini kwa nje yanavutia sana.....
 
Tikiti kubwa mara nyingi hua si tamu linaukosefu radha na hua linamaji mengi lakini dogo hua ni tamu na haliishi hamu mpo
 
Tikiti Kubwa Lina Maji Mengi; Ukichovya Mdomo Unalowana hadi Kwenye Nyele za Kidevuni; Kitiki Lilotamu ni Lenye Umbo Jembamba; Hii ni Sawa na "Nyama" Kwani Ile iliyokaribu na Mfupa ni Tamu kuliko Zote. Makubwa yana Maji mengi na yale Maji hata yanalowanisha mavazi.
Maji huwa yanakauka yale sema wengi wanaokutanayo huwa wanacheza chini ya kiwango
 
Back
Top Bottom