MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
AkA sitaki
Njoo chemba kama huku unaona aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AkA sitaki
njoo chemba kama huku unaona aibu
Nakubaliana na wewe, mi nshakula makubwa na madogo, nimeona madogo ndo yana maji mengi sana, alafu matikiti makubwa hayakifu kula kama madogo, matikiti madogo hata wakati ukiyala hayatoshei mkononi, matikiti makubwa huwa yana ganda laiiiini tofauti na matikiti madogo, wengi wayaogopa kwa ukubwa lakini yana namna yake ya kuyala, walah ukila matikiti makubwa hutoacha kamwe.Hapana hapa na pingana na wewe, inawezekana wewe ulichagua tikiti lililoharibika mkuu.
walah matikiti madogo ndiyo yenye maji mengi.
hata size ya nanasi ina determine utamu wake...
kubwa ni tamu kuliko dogo...
lakini siyo tamu sasa...