Hauko Sahihi Rudia Zoezi hilo, Yanapatikana Mengi Maeneo ya Mbagala na bei ni Nafuu zaidi Kuliko sehemu nyingine kwa Dar; Unaweza kuanza na dogo Maana utalimaliza , Usije kuanza na Kubwa kwa sababu Hautalimaliza Litakukifu Naamini waweza hata Kulitupilia mbali.
Mbagala maeneo yapi mkuu?rang 3 au mpaka live dar?nimemiss sn