Utamu wa tikiti ukubwa wake unahusika

Utamu wa tikiti ukubwa wake unahusika

ukubwa au udogo sio kipimo pekee ya utamu wake hvyo style ya ulaji pia inahusika''ukila vzr utaenjoy ladha nzur''
 
Tikiti saizi ya kati ndo zuri,halafu ukute ndani jekundu na mbegu zake nyeusi.walai utataka tena na tena
 
matikiti makubwa hayana pumzi ulingoni, sometime nikazi kuya kunja unavyotaka... size ya kati balaaa
 
Back
Top Bottom