Utamu wa tunda la kati - Part 1: Nilivyolia kama mtoto mdogo

Utamu wa tunda la kati - Part 1: Nilivyolia kama mtoto mdogo

Mods hawajaja, au wamekuja wakapata moto wakasahau kubadilisha kichwa chap nyuzi.

Labda Mbaga Jr aje abadilishe!
Kama ulimaliza chuo ndio ukaenda mafunzoni nina assume ulikuwa na miaka kati ya 22 - 25 na hiki kisa umeeleza kimetokea miaka 25 iliyopita. Ina maana kwa sasa utakuwa na miaka kati ya 47 hadi 50. Hongera sana! Kweli jina la binti wa zamani linakusadifu. Life is a gift that we should embrace, good memories like these are part of it.. Enjoy!
 
Nimefuzu sitishiki na hizo kesi ndogo ndogo , You think you rhyme hard nigga, I rhyme hard times infinity far from usual house you visit
Mfumo wa nguzo za hizi tungo ni ishara kwamba nimefuzu
Kwa maana hii miruko ni imara..

Niko sky natafuta kikomo, kwenye kisomo
Nachora beyond normal muulize Dubo Dibala

Expansion to the hyperspace...... Oyaaaaa oyaaaa expansion to the hyperspace.... Did you get it
 
Oyaa oyaa weee kama umetoroka milembe 😸
 
WEWE ni chizi ngono una vitu muhimu vyskufanya Zaidi yakuwaza ngono nakuhurumia maana "NGOSWE NI KITOVU CHA UZEMBE" Written by Edwin Semzaba
Wewe kama hupendi ngono kwenye uzi wa ngono umekuja kufuata nini?
Na hicho kitabu hakiitwi hivyo, rekebisha uandishi wako.
 
Back
Top Bottom