Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,141
Hii ni dalili ya njaaOgopa ma-pythagoras ma schrodinger
Ma documentary flani kwenye monitor
No one is insane enough to battle me
I'm so scary I'll wear my own mask for halloween
I repeated no one is insane enough to battle me.... No one no one no one
Nimefuzu sitishiki na hizo kesi ndogo ndogo , You think you rhyme hard nigga, I rhyme hard times infinity far from usual house you visitShyshka Reinhardt Juzi juzi tu ulikuwa mtoto pori
Leo unamuita Binti wa zamani inbox mpige story
Wadau jf wanashangaa huyu jamaa mbona mbwiga
Likes likes kadhaa umeanza kujiona Bieber
Umri wangu umeujuaje π ?Mwaka 2000 ulikuwa na miaka 24 Leo una miaka 49 sio mbaya ngoja nije niombe nione yaliyomo
Strongest kwenye nini?May the strongest man win, halafu aje ahangaike sasa kuichapa na kunikojoπ¦
Kama ulimaliza chuo ndio ukaenda mafunzoni nina assume ulikuwa na miaka kati ya 22 - 25 na hiki kisa umeeleza kimetokea miaka 25 iliyopita. Ina maana kwa sasa utakuwa na miaka kati ya 47 hadi 50. Hongera sana! Kweli jina la binti wa zamani linakusadifu. Life is a gift that we should embrace, good memories like these are part of it.. Enjoy!Mods hawajaja, au wamekuja wakapata moto wakasahau kubadilisha kichwa chap nyuzi.
Labda Mbaga Jr aje abadilishe!
Mfumo wa nguzo za hizi tungo ni ishara kwamba nimefuzuNimefuzu sitishiki na hizo kesi ndogo ndogo , You think you rhyme hard nigga, I rhyme hard times infinity far from usual house you visit
Oyaa oyaa weee kama umetoroka milembe πΈMfumo wa nguzo za hizi tungo ni ishara kwamba nimefuzu
Kwa maana hii miruko ni imara..
Niko sky natafuta kikomo, kwenye kisomo
Nachora beyond normal muulize Dubo Dibala
Expansion to the hyperspace...... Oyaaaaa oyaaaa expansion to the hyperspace.... Did you get it
Oyaaa oyaaaaaaaaaaOyaa oyaa weee kama umetoroka milembe πΈ
Bangi uki-overdose inakupoteza πOyaaa oyaaaaaaaaaa
Oyaaaa weeeeh... Oyaaaa
Sijui wale oya walimfavya nini ibrah wa watu maskini π€£π€£π€£π€£ππππ
Ndege ni muongo jamani ππKasema amekutandika mimba umekua mama kandege mtarajiwa.
Ngoja tumuite aje atoe maelezo secretarybird
Wewe kama hupendi ngono kwenye uzi wa ngono umekuja kufuata nini?WEWE ni chizi ngono una vitu muhimu vyskufanya Zaidi yakuwaza ngono nakuhurumia maana "NGOSWE NI KITOVU CHA UZEMBE" Written by Edwin Semzaba
Fatilia moja inaitwa da vinc code freestyle challenge..Bangi uki-overdose inakupoteza π
Mbona siion SpotifyFatilia moja inaitwa da vinc code freestyle challenge..
Utakuna na miimba mule kama
Stan wa rhymes
Wa kiafrika
Muncho
Unju bin unuki
Kwenye kunipa raha kama SamyStrongest kwenye nini?
Kwamba ngoswe ndo kitovu cha uzembe ππWewe kama hupendi ngono kwenye uzi wa ngono umekuja kufuata nini?
Na hicho kitabu hakiitwi hivyo, rekebisha uandishi wako.
Hapo sasa, mambo ya kukurupuka yanaweza kukuaibisha bila sababu π€¦ββοΈ.Kwamba ngoswe ndo kitovu cha uzembe ππ
Ngoja aje kujitetea ππππNdege ni muongo jamani ππ
Anayo mwanga itakua.. ngoja tuoneMbona siion Spotify