Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Hii ni chai lakin nimeipenda maana ina kaelimu kanamna ya kuipiga vyema
Mgumu, kwanini kila nikiandikaga kuhusu maisha yangu unasema ni chai?Hii ni chai lakin nimeipenda maana ina kaelimu kanamna ya kuipiga vyema
sisi watu wa jf huwa ni wajuaji mpaka kwenye mambo ya watu,kwahyo tuvumilie tuMgumu, kwanini kila nikiandikaga kuhusu maisha yangu unasema ni chai?
Kwani nyie wenzangu mnaishi maisha gani?
Sasa Mshangazi, lini tunapashaHaa haaa wazee wa hizo kazi au siyo 🤣
Bora hata umesema ukweli 😂sisi watu wa jf huwa ni wajuaji mpaka kwenye mambo ya watu,kwahyo tuvumilie tu
Wewe tu, si umesema unatafuta kwanza au umesahau?Sasa Mshangazi, lini tunapasha
Hapana huwezi, sio kwa ubaya lakini.Vipi naweza kupata namba yako sio kwa ubaya
Okei, nimepata tayari kesho itapendeza zaidi, wacha nimstue na Nusratt kwa ajili ya utatu mtaka vitu 😋Wewe tu, si umesema unatafuta kwanza au umesahau?
Kwamba siku hizi ni zinalambwa kwa asali na tende, you guys mmekubuhu 😁🙌Umeanza, tulikwambia tukizidaka hizo korodani tutakutemesha ubongo umeng'ang'ania.
Anyway ubongo si wako, angalia usitufie tu.
😈 SHETANI ANACHEKELEA KUONA HIVINaomba tupange mechi ya kirafiki lkn niahidi kuwa itakuwa siri yetu
Hayo madoido hayana ulazima, zinalambwa hivyo hivyo, usipokaa sawa hata salad yako itakuwa tossed kwa mara ya kwanza, kama hujawahi utabaki unapiga tu kelele, niacheni niacheni na hatukuachilii.Kwamba siku hizi ni zinalambwa kwa asali na tende, you guys mmekubuhu 😁🙌
Upuuzi tu
AnachekeleaShetani naye tuko naye humu
Satan eti ni kweli unachekelea au wanataja jina lako in vain ?
Huu ushauri subiri umpe mtoto wako wa kumzaa.UJINGA NDANI YA UJINGA YA UJINGA CUBIC
KUWENI WAAMINIFU
ALF MPUNGUZE SIO KILA MTU MNAFANYA NAYE
NAONA UAMINIFU NI ZERO
MUNGU AWASAIDIE
OMBA UBADILIKE
UZINZI UMEZIDI USHACHUKULIWA KAMA MAZOEA NA STAREHE