Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkikosa chakula, mnajipoza na *******
Mkikosa pesa, mnarudi kitandani kutafuta maono
Ukitoka kitandani, furaha hujaa
Heri maskini mwenye mke/mume kuliko tajiri single
masikini halali mchana..
masikini hakosi ndoto...
masikini hanuni...
masikini hachagui ndugu..
masikini haibiwi...
masikini hafilisiki.....lol
hujamtendea haki na tabu zakesio tabu tupu ni kiaziiiiiiiiiiiiiiiiii tena mbatata
.....shida ya maskini,hana hakimasikini halali mchana..
masikini hakosi ndoto...
masikini hanuni...
masikini hachagui ndugu..
masikini haibiwi...
masikini hafilisiki.....lol
Mkikosa chakula, mnajipoza na *******
Mkikosa pesa, mnarudi kitandani kutafuta maono
Ukitoka kitandani, furaha hujaa
Heri maskini mwenye mke/mume kuliko tajiri single