Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
Yule jamaa ungemuona sura yake kama kibakaMkuu shida humkuta mtu yeyote...
Mimi kipindi niko F5 nimewahi kusaidiwa simu na stranger nilikuwa na shida kubwa sana..
Hivyo mimi kumsaidia mtu naangalia mazingira kama ni ya kitapeli au mtu ana shida kweli...
Kama ana shida namsaidia tu
Nimestuka mie nina roho fresh ya kusaidia lkn. Roho ilisita kwa kweli kwake mkuuHawachelewi kukutapeli au kukuingiza matatizoni hao watu mkuu.
Ndio maana nakwambia unaangalia na situation kama haieleweki unapiga chini tu maana uaminifu nao saa nyingine unaponza..Yule jamaa ungemuona sura yake kama kibaka
Hamna ulazima. Mradi nimemkatalia kumpa simu basi inatosha ahsante sana mkuuKwaiyo unataka tukusaidie kumukamata au unataka nn?
Alitaka kuniingiza king machale yamenicheza mkuuAlitaka kukuingiza mjini..
Dunia imekwisha uaminifu kwa mtu Usiomjua wala kumfahamu inakuwa ngumu sana kwa kweli mkuuUnaweza omba kama umepata shiida, ila kuna wachache ambao wanatumia mbinu hiyo kuiba
Kweli kabisa aiseee angeniacha kwenye mataaHuyo jamaa bado anashangaa.
Huyo alikuwa hana maana angeacha matatizo tu heri umemuacha anashangaa.
Mie ndio niliemleta mjiniKama humuamini mtu mpe 500 akanunue vocha tu
Angekushangaza wewe safi umewahi kumshangaza.Kweli kabisa aiseee angeniacha kwenye mataa
Lakinii ujue kuna ambao huwa na shiida kweeeli, sasa uaminifu umepotea na huwafanya kukosa msaadaDunia imekwisha uaminifu kwa mtu Usiomjua wala kumfahamu inakuwa ngumu sana kwa kweli mkuu