Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
Wana jukwaa habari za saa hizi. Bila kupoteza muda jana mishale ya saa tisa alasiri nilikuwa maeneo ya Uchumi supermarket pale nyerere road kaja Jamaa simju anijui "namnukuu" Kaka naomba nikupe namba umpigie jamaa nataka kuongea nae. Mwisho wa kumnukuu mimi sasa nikamjibu Sitoi simu nishaibiwa simu kwa mtindo huo kama wako sitaki. Jamaa akastuka kwa mshangao eeeeeh[emoji15] [emoji15] nikaondoka zangu nikamuacha hapo hapo anashangaa