Ehee hilo ndo nimemaanisha TF...si unajua ukimrudia Mungu inabidi usifanye mapenzi mpaka uoe/uolewe..
Mimi nakubaliana na ushauri alioutoa Maria Roza hapo juu hebu jaribu kuuchukua huoEhee hilo ndo nimemaanisha TF...si unajua ukimrudia Mungu inabidi usifanye mapenzi mpaka uoe/uolewe..
Hivi tumekaa mimi na wewe miaka mingapi hatujagusana??Duh ina maana kurudisha bikira feki :love::love:
mwambie, kuanzia leo Yesu hapendi!
Hehehehe ile huwa aina kitulizo cha aina yoyote ile zaidi ya biolojia ya mwenzakeHahhah halafu ukisikia nanihii unameza Klorokwini :love::love::love:
Hehehehe ile huwa aina kitulizo cha aina yoyote ile zaidi ya biolojia ya mwenzake
Kuna wengine wana vidole kama kwato za ng'ombe si itakuwa balaaHahahha vidole vinaweza tuliza :love::love:
hehehe halaf huyu sweetdada nazani anafanya kazi saloon za sinza, kila siku anakuja na kesi mpya ya ajabu ajabu.Hahhah halafu ukisikia nanihii unameza Klorokwini :love::love::love:
Alleluyah!Kama wewe unaweza kwanini udhani yeye hataweza??Anza kwa kumuuliza mnapoelekea..then mshawishi kufanya kilicho sahihi mbele ya muumba wenu.Akileta ubishi mwambie kama anataka aendelee kukufaidi akufanye mke wake au achape mwendo.Kama uko tayari kusimamia imani yako mpya hata kama utampoteza basi mwambie tu plain and simple....maisha haya siyataki tena!