Utanashati wa mwanaume ni nini..?

Utanashati wa mwanaume ni nini..?

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
623
Reaction score
267
Ningependa kujua mwanaume anajudgiwa vipi na mwanamke kwamba ni mtanashati(handsome).
 
hapo kwenye uongeaji inakuwaje...?
hapo kwenye uume ni gani...?
 
mimi kama mwanaume...kati ya wanaume wengi mpaka 90% ya niliyowahi kuwaona na kusikia wakiitwa ma-handsome na wanawake wao au wengineo walikuwa na sifa mija in common...WANA-HULKA NA KUJIPENDA AU KUJIPODOA KAMA WANAWAKE....na wengiwao pesa walonayo ni ya kwendea saloon na kupaka lipstiks na all times wapowapo tuu...na sikuhizi wanaitwa MASHAROBARO MARA KINA MARIOOO..kama vipi jaribu kufanya uchunguzi wako wa hao watu wenye majina hayo utaniambia nipo sahihi 100%
 
U handsome ni sura nzuri

utanashati ni usafi na kujipenda
 
@michele, kwenye umbo na sura inakuwaje..?mwanamke anajudge vp sura ya mwanaume kuwa nzur.?
 
Back
Top Bottom