Utanashati wa mwanaume ni nini..?

Utanashati wa mwanaume ni nini..?

Ningependa kujua mwanaume anajudgiwa vipi na mwanamke kwamba ni mtanashati(handsome).

asiwe mchovu kiakili, kiuchumi na kimwili.
Uhandsome unakamilika akiwa na mafuba ya kumwaga. Lol.
 
Back
Top Bottom