Utando baada ya kupaka lip shine au mafuta mdomoni

cattoon

Senior Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
142
Reaction score
43
Sorry hii inatokana na nini inanikera sana hii hali ukishapaka mafut mdomoni ili kulainisha mdomo baada ya mda Luna kuwa na utando nifanyeje ili hii hali isiwepo.
 
Cio homa ni hali ya kawaida has a kama unaongea mda mrefu utando unajitengenez mdomoni
 
Sorry hii inatokana na nini inanikera sana hii hali ukishapaka mafut mdomoni ili kulainisha mdomo baada ya mda Luna kuwa na utando nifanyeje ili hii hali isiwepo.
Kwanini upake hivo vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…