Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapan bhana mbon kawaida hata we jarib kupak mafut ya mgando mdomon alafu ongea kwa mda mrefu utaon effects zakeuna ngoma? hiyo ni dalili ya kuathirika!
Kwanini upake hivo vituSorry hii inatokana na nini inanikera sana hii hali ukishapaka mafut mdomoni ili kulainisha mdomo baada ya mda Luna kuwa na utando nifanyeje ili hii hali isiwepo.
Ci unajua wengin midomo yetu ya kupasuka pasuka hasa kipindi cha baridi kwaiyo lazim upakeKwanini upake hivo vitu
Usipake .uwe unairamba tuuCi unajua wengin midomo yetu ya kupasuka pasuka hasa kipindi cha baridi kwaiyo lazim upake