UTANDO JUU YA ULIMI; KICHEFUCHEFU

pambe samanini

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2015
Posts
368
Reaction score
169
Naomba kufahamu ugongwa huu unaitwaje maana ni muda sasa nimesumbuka nao bila majibu au tiba yake. Mwaka 2005 kulitoke ghafla mabaka meusi sana usoni pia pakatokea utando mweupe kwenye ulimi suala ambalo lilipekea kuhisi kichefuchefu na kutema mate mara kwa Mara au kila wakati na hivyo kupata shida sana kujumuika na watu wengine kwenye masuala ya kijamii. Hata hivyo ikumbukwe kuwa hadi sasa bado tarizo ngozi, utando, pamoja na kichefuchefu wakati mimi ni mwanaume wa takribani 30s miaka.
Tafadhari wajuzi na weledi wa tiba za binadamu
 
Uliwahi kupima na ukaambiwa una tatizo gani?
 
Mkuu una dalili zote cha muhimu nenda ukaonane na daktari ukimpa hayo Maelezo atapendekeza upimwe nini
 
Kaanze dozi mkuu ushapata ukimwi ...
Usipoteze pesa zako
 
Pole sana aisee, ungeeleza kama umeenda hospital na mlifkia wap kweny matbabu?
 
Nilikuwa napewa tu antibiotics hatimaye nilichoka kunywa dawa hizo maana hapakuwa na mafanikio yeyote
 
Dawa yake pia ni pamoja na kupiga mswaki kwa kutumia mswaki wa mti
 
Hizo ni dalili moja wapo za maambukizi ya ukimwi.
Yaani ni dalili kabsaaa hzo mkuu serious nakuambia.
 
 
Mkuu nenda kacheki biopsy huenda ikawa kansa ya ulimi, ukiwahi inapona.. vp sigara au ugoro hutumii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…