pambe samanini
JF-Expert Member
- Oct 27, 2015
- 368
- 169
Naomba kufahamu ugongwa huu unaitwaje maana ni muda sasa nimesumbuka nao bila majibu au tiba yake. Mwaka 2005 kulitoke ghafla mabaka meusi sana usoni pia pakatokea utando mweupe kwenye ulimi suala ambalo lilipekea kuhisi kichefuchefu na kutema mate mara kwa Mara au kila wakati na hivyo kupata shida sana kujumuika na watu wengine kwenye masuala ya kijamii. Hata hivyo ikumbukwe kuwa hadi sasa bado tarizo ngozi, utando, pamoja na kichefuchefu wakati mimi ni mwanaume wa takribani 30s miaka.
Tafadhari wajuzi na weledi wa tiba za binadamu
Tafadhari wajuzi na weledi wa tiba za binadamu