Utangazaji unalipa

Uo mgari duh maintenance yake ni balaa
 
Discovery series zimekaa ki gentle. Zaidi tofauti na range rover hadi vitoto vya kike vinaendesha. Since nimezijua disc sijawahi kuona demu Oki endesha. Ni wanaume tu nashuudia
Nenda pale food lovers mida ya jioni jioni ukae pale nje utawaona hadi mabeki tatu wakija nazo
 
Watu wengine mnaboa sana, wewe huna hata guta unang'ang'ana eti kuna gari za kike na kiume. Shame on you
 
Bosi gari ya kike na ya kiume ipo wapi? Hiyo ni mindset yako mzee. Gari ya pink.. eish. Kwamba gari ya pink ni gari ya kike! Kwa hiyo watengenezaji wa magari kutengeneza gari zenye rangi tofauti huwa wanatarget za kike na za kiume?? Badirika
 
Discovery series zimekaa ki gentle. Zaidi tofauti na range rover hadi vitoto vya kike vinaendesha. Since nimezijua disc sijawahi kuona demu Oki endesha. Ni wanaume tu nashuudia
Mi naendesha,ni hatujakutana tu[emoji4]
 
Watu wengine mnaboa sana, wewe huna hata guta unang'ang'ana eti kuna gari za kike na kiume. Shame on you
Hata iweje siwezi kuacha msimamo wangu. Acha kutoka povu.... Braza una miliki ki vitz nini? Kaaa hapo hapo. This year haaiishi navuta station wagon ya kibabe. Wewe toka povu..... Tu. You don't know me.
 
Bosi gari ya kike na ya kiume ipo wapi? Hiyo ni mindset yako mzee. Gari ya pink.. eish. Kwamba gari ya pink ni gari ya kike! Kwa hiyo watengenezaji wa magari kutengeneza gari zenye rangi tofauti huwa wanatarget za kike na za kiume?? Badirika
Kajifunze kuandika. Badirika ni nini mkuu?
 
Ajasemea rangi lakn
 
Ajasemea rangi lakn
Hata kama. Mimi nikona mwanaume anaendesha ki passo cha rangi ya pink. Namshusha vyeo pale pale. Kuna watu wanaelewa mantiki yangu. Japo walo nazo wanatoka povu kwa kuwa against me kwa hoja nyepesi.
 
Shit, una disc gani? Seems you are one of kind. I really wish to see you. Driving DISCOVERY
Of course am one th kind [emoji4] ,nasukuma namba 4 mzee ntakutafuta nikupe walau lift[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…