Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 7,781
- 6,966
Umetoka kwenye hoja tena! Tafuta hela kijana,gari ya kike na ya kiume ni stori za makabwela kama nyie. Pesa huna bado unawabeza wanaume wenzio na magari yao. Kuna Aston martin ipo kama vits wanaume wanasukuma. Ipo coated na almasi we unaleta stori za vijiweni. Huna hela huna uelewa wa magari.Kajifunze kuandika. Badirika ni nini mkuu?