Utangazaji unalipa

Kajifunze kuandika. Badirika ni nini mkuu?
Umetoka kwenye hoja tena! Tafuta hela kijana,gari ya kike na ya kiume ni stori za makabwela kama nyie. Pesa huna bado unawabeza wanaume wenzio na magari yao. Kuna Aston martin ipo kama vits wanaume wanasukuma. Ipo coated na almasi we unaleta stori za vijiweni. Huna hela huna uelewa wa magari.
 
You won son. You don't know me..... I'm out
 
sasa mi hapo sijaelewa kitu, inamaana mkataba wa gadner ni mnono kiasi hcho kuzidi hata wa watu wazalendo pale cloudz kama kina milard ayo, bdozen,mchomvu etc? sasa kama ni hvo mbna hata gape inaonesha ni kubwa sana? why?
 
Gari yenyewe yathamni inaingizwa chochoro..then anapoongea huku anakuna kichwa ni dalili hajiamini...atalkua amenunuliwa
 

Sasa kama tu Boksa na Chupi za pink tunazisaula, kuendesha gari la pink kuna tatizo gani?
 

Hii explosure ni aina mpya ya gari Mkuu au?
 
Ukikosa pesa mara nyingi unakosa na explosure. Msamehe bure huyo jamaa.

Ebhana hilo neno explosure unalipenda sana Mkuu! Hivi ni nini hicho au ina maana gani? Sisi tusiojua Kiingereza kidogo hapo katika hilo neno umetuacha.
 
Tehe tehe! Pesa huna kiingereza pia hujui. Huna explosure ya vyombo vya moto ndio maana umekariri za kike za kiume.

Mkuu naomba uwe Mwalimu wangu wa Kiingereza. Nimelipenda sana hilo neno la explosure kwani nahisi yawezekana ukawa ni Msamiati mpya wa Malkia wa Uingereza mwenye lugha yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…