M MumbaZ Senior Member Joined Jan 28, 2018 Posts 133 Reaction score 124 Jul 28, 2018 #1 Msanii alikiba msanii mkali wa muzik Tanzania anayeshindanishwa na diamond platinum ambaye kwa sasa inasemekana amesajiliwa na timu ya ligi kuu ya Tanzania kwa kuwa anakipaji cha mpira pia. Utaalamu wake wote kuogelea kwake ni tabu!..
Msanii alikiba msanii mkali wa muzik Tanzania anayeshindanishwa na diamond platinum ambaye kwa sasa inasemekana amesajiliwa na timu ya ligi kuu ya Tanzania kwa kuwa anakipaji cha mpira pia. Utaalamu wake wote kuogelea kwake ni tabu!..
Kipanga boy JF-Expert Member Joined May 28, 2017 Posts 1,409 Reaction score 1,219 Jul 30, 2018 #2 Hahaaaa na anatoka Jiran na lake Tanganyika.