Utani: Alikiba aimbe na kucheza mpira ila kuogelea hapana

Utani: Alikiba aimbe na kucheza mpira ila kuogelea hapana

MumbaZ

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
133
Reaction score
124

Msanii alikiba msanii mkali wa muzik Tanzania anayeshindanishwa na diamond platinum ambaye kwa sasa inasemekana amesajiliwa na timu ya ligi kuu ya Tanzania kwa kuwa anakipaji cha mpira pia.
Utaalamu wake wote kuogelea kwake ni tabu!..
 
Back
Top Bottom