Utani Compilation. Weka utani wako hapa!

Utani Compilation. Weka utani wako hapa!

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
2,326
Reaction score
1,314
Nina project kubwa ya kufanya compilation ya maneno ya utani utani kama yanavyoshamiri humu JF na duniani kote kwa ujumla.

Sasa, naombeni mniandikie utani utani hapa then niyakuchukue yale mazuri ya kuchekesha nikaya compile.

NB: Za mambo ya mapenzi mapenzi siyachukui. Pia utakuwa acknowledged kwa andiko hilo.

Shukrani.
 
HATARI YA MAISHA BILA MAOMBI!*

Cornelia Arnolda Johanna ten Boom mwanamke wa Kidachi aliyezaliwa mnamo mwaka 1892 katika mji wa Haarlem nchi Uholanzi hayupo duniani, alirudi kwa Baba (kutwaliwa) mwaka 1983. Mwanamke jasiri wa Kikristo katika zama zake. Ni jasiri kweli, nasema hivyo kwa sababu dunia nzima inamtambua dikteta Adolph Hitler alikuwa nani na alikuwaje.

Lakini akijua kabisa ukatili wa Hitler, jinsi ambavyo aliwachukia kuwatesa Wayahudi wakati ule wa Vita ya pili ya dunia yeye aliwachukua na kuwaficha Wayahudi nyumbani mwake, hata hivyo alikuja kusalitiwa na raia mwenzake.


Sio nia yangu kueleza historia ya mwanamke huyu shupavu wa Kikristo ambaye baadae alikuja kuwa na huduma kubwa sana, lakini nia yangu ni uzito wa maneno yake kuhusu maombi. Kama nilivyosema, yeye alitangulia kwa baba, lakini maneno yake yangali yanaishi hata sasa.

Nukuu yake moja naipenda sana, aliwahi kusema hivi *“Don’t pray when you feel like it. Have an appointment with the Lord and keep it. A man is powerful on his knees.”*

Kwa tafsiri ambayo sio rasmi sana, Cornelia ten Boom alimaanisha kwamba *“Usiwe unaomba wakati ule tu unaojisikia kufanya hivyo, bali uwe na miadi na Bwana, na utunze miadi hiyo. Nguvu mtu iko katika magoti yake* (yaani maombi)”

Tukutane ibadani leo, tutakapokuwa tukijifunza somo lenye kichwa “HATARI YA MAISHA BILA MAOMBI”

MCH. OVERVOMER DANIEL
 
Back
Top Bottom