Utani connection

```Konda: temeke temeke!!
Dem; Temeke kuna nin?
Konda; mkutano wa Malaya kama wew"
Dem: mamako amefika?!```

*dem Yuko Muhimbili ICU* [emoji13][emoji13][emoji13]
 
*KUNA WANAWAKE WAVUMILIVU HUKU DUNIANI MFANO HAKUNA....* *UTAKUTA YUPO NA MWANAUME ANANUKA MDOMO MASIGARA VIROBA GOMBA MIXER MIGUU
UTAZANI MZOGA WA KITIMOTO... LAKINI BADO UNAKUJA UNA MDANDIA MTOTO WA WATU NA ANA KUVUMILIA* *WANAWAKE KAMA HAWA POPOTE MLIPO AGIZENI SODA NITALIPA MIM.* [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimeagizwa nikampokee mgeni stendi,nimempokea nashangaa yeye ndo anakaza mwendo njiani!
[emoji15][emoji15]
*Nimemuacha katangulia kama hatua tano nimekata kona kichochoro kingine!*
[emoji124][emoji124][emoji124]
*sasa hivi nipo kwa rafiki yangu nasikia anatangazwa msikitini Amepotea*
[emoji57][emoji57][emoji57]
Sipendag ujinga mimi!
 
MISS TANZANIA 2016
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
JINA😀iana Edward Lukumai
UMRI:Miaka 18
ELIMU:Shahada(degree)
Hii ina maana;
Alianza Chuo akiwa na miaka 15
Alianza Form one akiwa na miaka 9
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingawa sio mshabik wa haya mambo napenda nchukue hii nafasi kuwapongeza Wazazi wote kama wazazi wa Diana ambao watoto wao wameanza shule ya msingi wakiwa na miaka miwili
 
*MADENGE*
*HAKOSI*
*VISA:*=
*baada ya kumaliza form four baba akamwambia achague zawadi yoyote aipendayo*
*MADENGE: naomba pesa nikamuoe bibi maana siku nyingi amekuwa akiniita mchumba wake.*
*BABA: Shenzi, yule ni mama yangu mzazi huwezi kumuoa.*
*MADENGE: Mbona wewe umemuoa mama yangu mzazi sijasema kitu ww inakuuma? lazima nilipize kisasi ikikuuma muache mama yangu kila mtu akae na mamayake.*[emoji23][emoji23][emoji23]

*@Prince Hussin**★★
 
Nipo kwenye diffender hapa leo c birthday ya anko magu.....so nikatangaza kuwa twenden 2kammwagie maji... ndo ghafla diffender limenichukua hapa nahisi ndo wananipeleka huko kwenye birthday......
 
Kuna Jirani ametoka kunitusi "Paka.." sahizi...so nmeingia kwake nikanywa maziwa yote na nikala nyama alikua amenunua...

......Sahii nimetulia tu kwa sitting room yake nangojea arudi aniulize swali nimjibu "Meeeaaooow" alafu nitoke niende kwangu nikalale


*napenda ujinga uco na hasara[emoji19][emoji19]*
 
Boy : baby mambo, leo unakuja,kama tulivyoongea jana?

Girl : Ndiyo my..

But baby Nikwambie kitu...

Boy : sema mpnz

Girl : Sasa mimi nitakujaje, nywele zipo hovyo sijaosha, wala kuset.. Alafu baby kucha zangu sijasafisha..

Nitumie pesa kidogo Kama 150,000/= hivi niende saloon..

Boy : Poa usijali subiri...

M-PESA : imethibitishwa 155,000/= salio lako jipya la M-PESA ni shilling 155,250/=....

Boy : Umeiona mpnz?

Girl: kimya

Boy : Mmh mbona hujibu?

Girl : Ooh sorry, my nimeiona, nilikuwa namuandalia baba chakula, ndiyo amerudi muda huu toka safari...

Mmh alafu sijui Kama ntaweza kutoka baby coz baba alivyorudi amenisema, juzi nilivyochelewa kurudi home, mama kamwambia kila kitu...

100(customer care Vodacom) : Karibu katika huduma ya watu waliotuma pesa kimakosa kupitia M-PESA...

Boy : Samahani nimetuma shillingi 155,000/= kwenda number xxxxx, naomba mnisaidie kuirudisha tafadhali...

100(customer care Vodacom) : OK subiri ombi lako linashughulikiwa na utarejeshewa kiasi hicho ndani ya masaa 24...

Girl (SMS imeingia toka M-PESA) : Imedhibitishwa kiasi cha shilling 155,000/= kilichotumwa kimakosa kimerudishwa, salio lako jipya la M-PESA ni shilling 250/=
Girl : Sasa baby ndiyo nini hivyo... [emoji7][emoji7]
Boy. Sio Mimi ni voda ao wamenionea uruma unavyo nichuna. [emoji23]
Girl. Aah baby voda gani wako ivyo
Girl.alafu Baba kalala nakuja nitumie basi
Boy. We njoo ila nishatumie iko buku jelo now[emoji23]
Mimi siyo mtu wa mchezo mchezo ati...

Sipendagi ujinga mimi...!!!kasmaterialbaby
 
NYIE MADADA..mnaovaa mawigi yenu kichwani yanavyowatoa chicha mnaonekana ka kina Riyana Beyonce au yule mke wa Kanye West..kiukweli yanawapendeza mnoooo wengi wenu..ila chondechonde mnapoanza kuyavua ili tuanze kale kamchezo muwe mnatuandaa jamani..utakuta dada anavua wigi unakutana na kichwa kina chogo ka tarumbeta..wengine mna nywele 2..wengine vichwa vina mabutu ka bibi wa Kisarawe..kuna wale nywele zinazoanzia utosini...muwe mnatuandaa jamani...Ila Yamejua kuwafadhili.....khaaaa![emoji3][emoji3][emoji28][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
TUOMBE KWA AJILI YA WANAUME.
.1.Atapiga offer za kutosha bar lakini nyumbani harudi hata na fanta ya kopo

Waondolee sifa za kijinga baba[emoji20][emoji20][emoji20]

2.Ana pair moja ya soksi akivua humo ndani mtafutano

Wasafishe mwili na roho baba[emoji3][emoji3]

3.anarudi usiku wa manane ila sharti amkute mkewe hajalala ili afunguliwe mlango

Sio wao baba teta nao[emoji34][emoji34][emoji34]

4.mchepuko unanunuliwa nyama daily, wakati watoto na mama wamekuwa sungura kwa kula majani kila Leo

Warudishe njia kuu baba

5.hawataki kabisa simu zikaguliwe na wake zao kila program imewekwa password

Waongezee uaminifu baba[emoji52][emoji52][emoji52]

6.akichinjwa kuku basi wao hupewa mapaja filigisi na sehemu zingine nzuri

Wape uchu wa kupenda vipapatio na shingo za kuku baba[emoji23][emoji23][emoji23]

7.house girl akijichanganya kapewa mimba

Waepushe na tamaa za mwili baba[emoji18][emoji18][emoji18]

8.ameshika ratiba ya mpira wa uingereza kuliko mahitaji ya msingi ya nyumbani.

Wajaze baraka za kujali baba[emoji3][emoji3][emoji3]

9.ifikapo siku za ibada wengi hawaendi, huwatuma wake zao wakawaombee

Siku ya hukumu kila mmoja abebe msalaba wake baba[emoji22][emoji22][emoji22]

10.kwenye simu ataandika majina ya chinga,Braza,na Fidelis muosha magari kumbe hao ni ASHURA na Margret na *Salome*
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]

Waumbue baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*DUNIA .... IMEKWISHA. !!!*

Mtoto baada ya kutajirika alimwambia baba yake, "Enhe!
baba nikulipe nini ili tusijuane tena!

"Baba akamjibu, "Nipe mkeo nimnyonye maziwa kama
wewe ulivyomnyonya mke wangu!

" Mtoto, mmmh, "Basi mzee wangu, nilikuwa nakutania tu,
yaishe.

Baba: *" Nyoooooo....."*

*"Ulikuwa unanibipu .... Basi nimekupigia.*

[emoji134]‍♂ [emoji5][emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Somalia hakuna shalobalo hata kama yupo bac shalobalo muuza mitutu[emoji23][emoji3][emoji2][emoji2]
 
HAPA LAZIMA UKIMBIE
Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya
Mbagala, akanistua kwa nyuma akisema "Mathematic ndio wewe, upo kaka?". Nikamjibu
nipo kiongozi tunasindikiza wenye maisha yao,
akacheka sana,, Mara akaanza kuzungumzia
matatizo ya familia yake, nikamwambia tuyaache
hayo.
*NIKAMSTOPISHA* nikamwambia " Unadhani
familia yako ina matatizo?" Basi sikiliza kisa
changu hiki….
"Miaka michache iliyopita nilikutana na
mwanamke mjane aliyekua na binti mkubwa tu,
Mimi na huyo mjane tukaamua kuoana.
Baadaye baba yangu ambae alikuwa mkiwa baada ya
kufiwa na mama kitambo kidogo akaamua kumuoa
binti yangu wa kambo (yaani binti wa huyu mke
wangu niliyemwoa akiwa mjane), hivyo huyo binti
yangu wa kambo akawa mama yangu wa kambo
na Baba yangu akawa mtoto wangu wa kambo wa
kiume ambapo mke wangu akawa mama mkwe
wa mkwe wake.
Baadaye binti ya mke wangu yaani binti yangu wa
kambo (ambaye kwa sasa ndiye mke wa baba
yangu na hivyo kuwa pia mama yangu wa kambo)
alipata mtoto wa kiume. Mtoto huyo wa kiume
akawa mdogo wangu kwa sababu tulichangia
baba mmoja. lakini kwa vile pia alikua ni mtoto
wa binti wa mke wangu papo hapo akawa mjukuu
wa mke wangu na mimi nikawa babu yake huyo
mdogo wangu.
Lakini hayo yote yalikua si kitu mpaka mimi na
mke wangu tulipopata mtoto wa kiume. Sasa
msichana (yaani binti ya mke wangu ambaye pia
ni mke wa baba yangu) ambaye ni ndugu wa
mtoto wangu huyo wa kiume kwa kuchangia
mama yao mmoja, akawa pia bibi yake na
mwanangu (mwee!!). Hali hiyo ilimfanya pia baba
yangu kuwa shemeji wa mtoto wangu (achilia
kuwa babu yake!!) ambaye ndugu yake wa kike
kwa upande wa mama yao ndie mke wake baba
yangu. Kwa hiyo mimi ni shemeji yake mama
yangu wa kambo ambapo mke wangu ni mama
mdogo (anti) wa binti yake mwenyewe . Mtoto
wangu wa kiume ni mpwa wa baba yangu
ambapo mimi nikawa babu yangu mwenyewe.
Kabla sijamalizia jamaa akaondoka zake tu
Mimi sio mtu wa mchezo.
*Sipendagi Ujinga*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee kutoka Njombe alifika Dar, nyumba aliyofikia alisikia mume na mke wanaitana My Darling.
Jamaa alivyorudi Njombe akamwita mkewe Hellow my Njombeling!![emoji13][emoji13][emoji13][emoji13], mke akamuuliza maanake nini??? mume akacheka sana tena kwa dharau na kumwambia ushamba mwingine bhana tembea uyaone ukiwa Dar unaitwa Darling sasa ukiwa Njombe unafikiri utaitwaje kama si Njombeling???[emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…