Utani connection

Utani connection

COMEDY:
*Usifikiri Watu wote ni Wajinga Hawaelewi Mafumbo.*

Jamaa na Mke wake walikuwa bado Wamelala Asubuhi.

Ghafla Mtu akapiga Hodi kwenye mlango.

Mke akaenda kufungua mlango.

Bahati mbaya kumbe ni mpango Wake wa Kando.

*MKE:* Unataka nini we Mpumbavu?

*MUME:* Nani huyo una Mtukana?

*MKE:*Kuna Mtu hapa
Anakichwa kama Nenda urudi Baadae.

*Mpango wa kando:* Nawewe Pua kama... Poa.

*MKE:* Miguu kama Masaa
Mawili hivi.

*Mpango wa kando:* Masikio kama Sitachelewa.

*MKE:* Ondoka hapa mjinga wewe! Akafunga Mlango.

*MUME:* Mwambie ana Magoti kama Sitoki leo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa sitoki leo
 
HAPA LAZIMA UKIMBIE
Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya
Mbagala, akanistua kwa nyuma akisema "Mathematic ndio wewe, upo kaka?". Nikamjibu
nipo kiongozi tunasindikiza wenye maisha yao,
akacheka sana,, Mara akaanza kuzungumzia
matatizo ya familia yake, nikamwambia tuyaache
hayo.
*NIKAMSTOPISHA* nikamwambia " Unadhani
familia yako ina matatizo?" Basi sikiliza kisa
changu hiki….
"Miaka michache iliyopita nilikutana na
mwanamke mjane aliyekua na binti mkubwa tu,
Mimi na huyo mjane tukaamua kuoana.
Baadaye baba yangu ambae alikuwa mkiwa baada ya
kufiwa na mama kitambo kidogo akaamua kumuoa
binti yangu wa kambo (yaani binti wa huyu mke
wangu niliyemwoa akiwa mjane), hivyo huyo binti
yangu wa kambo akawa mama yangu wa kambo
na Baba yangu akawa mtoto wangu wa kambo wa
kiume ambapo mke wangu akawa mama mkwe
wa mkwe wake.
Baadaye binti ya mke wangu yaani binti yangu wa
kambo (ambaye kwa sasa ndiye mke wa baba
yangu na hivyo kuwa pia mama yangu wa kambo)
alipata mtoto wa kiume. Mtoto huyo wa kiume
akawa mdogo wangu kwa sababu tulichangia
baba mmoja. lakini kwa vile pia alikua ni mtoto
wa binti wa mke wangu papo hapo akawa mjukuu
wa mke wangu na mimi nikawa babu yake huyo
mdogo wangu.
Lakini hayo yote yalikua si kitu mpaka mimi na
mke wangu tulipopata mtoto wa kiume. Sasa
msichana (yaani binti ya mke wangu ambaye pia
ni mke wa baba yangu) ambaye ni ndugu wa
mtoto wangu huyo wa kiume kwa kuchangia
mama yao mmoja, akawa pia bibi yake na
mwanangu (mwee!!). Hali hiyo ilimfanya pia baba
yangu kuwa shemeji wa mtoto wangu (achilia
kuwa babu yake!!) ambaye ndugu yake wa kike
kwa upande wa mama yao ndie mke wake baba
yangu. Kwa hiyo mimi ni shemeji yake mama
yangu wa kambo ambapo mke wangu ni mama
mdogo (anti) wa binti yake mwenyewe . Mtoto
wangu wa kiume ni mpwa wa baba yangu
ambapo mimi nikawa babu yangu mwenyewe.
Kabla sijamalizia jamaa akaondoka zake tu
Mimi sio mtu wa mchezo.
*Sipendagi Ujinga*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuuh hili sio tatizo ..ni bomu kabisaa...
 
Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"...halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu..
Sipendagi kuchezea salio..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulizuka ugomvi mkubwa hospitali ya m/nyamala ile wodi ya watu wenye majeraha baada ya mgonjwa mmoja kung'ang'ania kagongwa na Prado wakati wenzake wanang'ang'ania kagongwa na Trekta
 
[emoji102] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ulizuka ugomvi mkubwa hospitali ya m/nyamala ile wodi ya watu wenye majeraha baada ya mgonjwa mmoja kung'ang'ania kagongwa na Prado wakati wenzake wanang'ang'ania kagongwa na Trekta
[emoji42] [emoji2] [emoji2]
 
Mateja walikua wanataka kuvuta bangi lakini wakakosa kibiriti, mmoja wao akaenda kutafuta, kazunguka wee mwisho karudi palepale, alivyofika akawauliza: Masela naombeni kibiriti

Wengine: subiri kuna mwana kaenda kutafuta, atarudi nacho sasa hvi
 
Mateja walikua wanataka kuvuta bangi lakini wakakosa kibiriti, mmoja wao akaenda kutafuta, kazunguka wee mwisho karudi palepale, alivyofika akawauliza: Masela naombeni kibiriti

Wengine: subiri kuna mwana kaenda kutafuta, atarudi nacho sasa hvi
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
*NYONYO LAMPOTEZA MWANAUME"....*
_Katika basi mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto. Akakataa kunyonya._
_Mama akamwambia_ _mwanae: Nyonya, kama hutaki nampa "anko" anyonye._
*Anko ni kaka mmoja abiria aliyeketi na huyo mama.*
_Mtoto akanyonya kidogo kisha akaacha._
_Mama akamtishia tena "Nampa anko". Ikaendelea mara kadhaa._
*Ndipo yule kaka kwa hamaki akasema: "Mama uwe na msimamo. Unajua nimepitiliza vituo vinne kwa ajili yako. Hebu kuwa mkweli...! Unanipa ninyonye au nishuke?"*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*WASICHANA BHANA WANAPIGANA MAJUNGU HAO*
_walianza wafupi, wakafuata wanene_
saiz utasikia *wasichana wembamba wakivaa magauni mekundu cku ya valentine wanafanana kama pilipili mbuzi*
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571]
 
*WASICHANA BHANA WANAPIGANA MAJUNGU HAO*
_walianza wafupi, wakafuata wanene_
saiz utasikia *wasichana wembamba wakivaa magauni mekundu cku ya valentine wanafanana kama pilipili mbuzi*
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571]
77d0f50fa232f5de1185c677779eedc9.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji23] [emoji12] [emoji23]
 
Mke na Mume waligombana, mume akalala kitandani na Mke akalala chini, Mume akawa anatikisa UUME akisema "TULIA Jembe langu HUONI TUMEGOMBANA?"
Mke akasema "TULIGOMBANA SISI, SIO WAO, Mlete acheze na mwenzake ila ugomvi wetu uko pale pale"
Eti kweli hapo ugomvi utaendelea?
 
*Dah!!! vitoto vingine vinaumbua sana*[emoji15]

Tulikua kwenye daladala, mtoto mmoja akamuuliza mama yake, *mama tunaenda wapi na hatujaoga*?[emoji38][emoji38][emoji38]

Dereva imembidi asimamishe gari tucheke kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom