Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,287
- Thread starter
-
- #81
[emoji3] [emoji3] [emoji115]Mtoto wa kike alimwambia mama yake: Mama wahuni wa pale wana roho mbaya, nimewaambia waniangulie maembe wakaniambia nipande mwenyewe. Mama akajibu: wale walikua wanataka kukuchungulia tu chupi yako. Mtoto akajibu: aah unafikiri sina akili ! Nimeivua chupi kwanza kisha ndo nikapanda!
[emoji3] [emoji3]*Pale unapokuwa umefulia sana...Mgeni anakutembelea Maskani kwako....Unaamua Kuchukua Ile Sh 600 iliyobaki na kwenda Dukani Kumnunulia Soda Unaondoka na Chupa Mbili Unanunua Fanta Moja kwaajil ya Mgeni na Ile Chupa ya Sprite Unaijaza Maji ili Ukirudi Uweze kumpa Kampani Mgeni......Unafika Seblen Unampa Ile soda ya Fanta Mgeni anakuambia Fanta huwa situmii Nipe hiyo sprite .....Bwana....Bwana. ...Bwana....Weee*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Apo ndo utagundundua morinyo anajiskiaje
Kumnunua *POGBA*
HahahaSIPENDI TABIA HII MIMI
Hakuna kitu kinachonikera kama mwanaume kumfata msichana inbox iwe fb au whatsapp na kumuomba namba ya simu. Kama wewe ni msichana na unakerwa na hii tabia kama inavyonikera mimi, NITUMIE NAMBA YAKO YA SIM INBOX tujadiliane tuone ni kwa namna gani tunaweza kulikabili hili tatizo!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Jamaa mmoja kaumwa na nyoka akaanza kucheka adi machozi yakamtoka wakamuhuliza unacheka nini wakai umeumia Jamaa akajibu ninamsikitikia nyoka Mimi Nina ukimwi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimeagizwa nikampokee mgeni stendi,nimempokea nashangaa yeye ndo anakaza mwendo njiani!
[emoji15][emoji15]
*Nimemuacha katangulia kama hatua tano nimekata kona kichochoro kingine!*
[emoji124][emoji124][emoji124]
*sasa hivi nipo kwa rafiki yangu nasikia anatangazwa msikitini Amepotea*
[emoji57][emoji57][emoji57]
Sipendag ujinga mimi!
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]*Duh! Sikubali bora mbavu zituume wote!*
*Watalii wana dharau sana bana, Mtalii alikodi boti akazunguka nayo kwenye mto Rufiji kuangalia mandhari, akamuuliza kijana anayeongoza boti, "Do you know Biology, Psychology and Anthropology?" Kijana akajibu "NO," Mtalii akamwambia "nothing you know under the sun? You are useless, and u'll die with your illiteracy!" baada ya muda boti ikaanza kuzama, kijana akamwambia mtalii "Do you know kuogelealogy and kusepalogy from mambalogy? Mtalii akajibu huku ametoa macho "No" kijana akamwambia "You will kufalogy and mambalogy wil eat your matakology because of your bad-mdomology..*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji71] *Mzungu alisafiri na Mbongo[emoji67]kwenye ndege[emoji574]*
*wakakaa siti moja*
*Mzungu[emoji71]akamdharau�� sana Mbongo*
*nakujiona anajua kila kitu duniani!,*
*Akamwambia Mbongo waulizane maswali*
*na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na*
*endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=*
*Mzungu [emoji71]akauliza ni nchi ipi ilishindwa*
*kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia?*
*Mbongo[emoji67] akatoa Jero/ 500 kuashiria hajui.*[emoji19][emoji23]
*Na yeye akamuuliza Mzungu, ni kitu gani*
*kikienda juu kina miguu minne na kikirudi*
*chini kina miguu mitatu?*��
*Mzungu akafikiria[emoji4] akakosa jibu akatoa*
*100,000/= kuashiria hajui ila akataka kujua,*
*akauliza ni nini hicho?*
*Mbongo akatoa Jero/ 500 kuashiria hata yeye*
_hajui!._
[emoji23][emoji23][emoji23]
tsha saanaHAPA LAZIMA UKIMBIE
Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya
Mbagala, akanistua kwa nyuma akisema "Mathematic ndio wewe, upo kaka?". Nikamjibu
nipo kiongozi tunasindikiza wenye maisha yao,
akacheka sana,, Mara akaanza kuzungumzia
matatizo ya familia yake, nikamwambia tuyaache
hayo.
*NIKAMSTOPISHA* nikamwambia " Unadhani
familia yako ina matatizo?" Basi sikiliza kisa
changu hiki….
"Miaka michache iliyopita nilikutana na
mwanamke mjane aliyekua na binti mkubwa tu,
Mimi na huyo mjane tukaamua kuoana.
Baadaye baba yangu ambae alikuwa mkiwa baada ya
kufiwa na mama kitambo kidogo akaamua kumuoa
binti yangu wa kambo (yaani binti wa huyu mke
wangu niliyemwoa akiwa mjane), hivyo huyo binti
yangu wa kambo akawa mama yangu wa kambo
na Baba yangu akawa mtoto wangu wa kambo wa
kiume ambapo mke wangu akawa mama mkwe
wa mkwe wake.
Baadaye binti ya mke wangu yaani binti yangu wa
kambo (ambaye kwa sasa ndiye mke wa baba
yangu na hivyo kuwa pia mama yangu wa kambo)
alipata mtoto wa kiume. Mtoto huyo wa kiume
akawa mdogo wangu kwa sababu tulichangia
baba mmoja. lakini kwa vile pia alikua ni mtoto
wa binti wa mke wangu papo hapo akawa mjukuu
wa mke wangu na mimi nikawa babu yake huyo
mdogo wangu.
Lakini hayo yote yalikua si kitu mpaka mimi na
mke wangu tulipopata mtoto wa kiume. Sasa
msichana (yaani binti ya mke wangu ambaye pia
ni mke wa baba yangu) ambaye ni ndugu wa
mtoto wangu huyo wa kiume kwa kuchangia
mama yao mmoja, akawa pia bibi yake na
mwanangu (mwee!!). Hali hiyo ilimfanya pia baba
yangu kuwa shemeji wa mtoto wangu (achilia
kuwa babu yake!!) ambaye ndugu yake wa kike
kwa upande wa mama yao ndie mke wake baba
yangu. Kwa hiyo mimi ni shemeji yake mama
yangu wa kambo ambapo mke wangu ni mama
mdogo (anti) wa binti yake mwenyewe . Mtoto
wangu wa kiume ni mpwa wa baba yangu
ambapo mimi nikawa babu yangu mwenyewe.
Kabla sijamalizia jamaa akaondoka zake tu
Mimi sio mtu wa mchezo.
*Sipendagi Ujinga*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sana...[emoji71] *Mzungu alisafiri na Mbongo[emoji67]kwenye ndege[emoji574]*
*wakakaa siti moja*
*Mzungu[emoji71]akamdharau�� sana Mbongo*
*nakujiona anajua kila kitu duniani!,*
*Akamwambia Mbongo waulizane maswali*
*na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na*
*endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=*
*Mzungu [emoji71]akauliza ni nchi ipi ilishindwa*
*kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia?*
*Mbongo[emoji67] akatoa Jero/ 500 kuashiria hajui.*[emoji19][emoji23]
*Na yeye akamuuliza Mzungu, ni kitu gani*
*kikienda juu kina miguu minne na kikirudi*
*chini kina miguu mitatu?*��
*Mzungu akafikiria[emoji4] akakosa jibu akatoa*
*100,000/= kuashiria hajui ila akataka kujua,*
*akauliza ni nini hicho?*
*Mbongo akatoa Jero/ 500 kuashiria hata yeye*
_hajui!._
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli wewe ni bonge la "Mathematician"HAPA LAZIMA UKIMBIE