Utani Mbaya Kwa Rais Wetu...

Utani Mbaya Kwa Rais Wetu...

Mimi namtoa BWM kwa kuwa tuko hapa kwa matokeo ya wana Mtandao wale wa u-Rais wa 2005. Halafu JAKAYA alipofika madarakani yeye na mshirika wake LOWASA walianza kwa kumchafua BWM. Wakamtengenezea kashfa ya Mgodi wa Kiwira through TANPOWER. wakasema mpaka akadharaulika mbele ya jamii.

Isitoshe, Jakaya Mrisho Kikwete ameshindwa kabisa kuacha LEGACY kwa kuwa
1.Ni yeye peke yake aliyelazimisha kubadili Katiba ya CCM kwa kuwatoa Viongozi na Marais Wastaafu kwenye Central Committtee ili apate nguvu nyingi binafsi
2 Alishindwa kutuachia Katiba mpya pamoja na kutumia Mabilioni ya fedha za walipa Kodi
3.Jakaya ndiye alikuwa Mwenyekiti wa Kamati Kuu iliyomingiza Magufuli kuwamo kwenye 5 Bora
4. UDHAIFU wake ndiyo uliopelekea CCM kutaka mtu mbabe!
5. Aliendekeza BIFU lake binafsi na LOWASSA

My take: We are here BECAUSE of JAKAYA KIKWETE and don't include BWM
Kwani shida ya huyu tulie nae in ubabe au empty head?
 
Haya mambo ya papai sijui mbuzi kukutwa na Corona inabidi tuwe tunachat huko PM
 
CC:Fayza Fox
Mimi namtoa BWM kwa kuwa tuko hapa kwa matokeo ya wana Mtandao wale wa u-Rais wa 2005. Halafu JAKAYA alipofika madarakani yeye na mshirika wake LOWASA walianza kwa kumchafua BWM. Wakamtengenezea kashfa ya Mgodi wa Kiwira through TANPOWER. wakasema mpaka akadharaulika mbele ya jamii.

Isitoshe, Jakaya Mrisho Kikwete ameshindwa kabisa kuacha LEGACY kwa kuwa
1.Ni yeye peke yake aliyelazimisha kubadili Katiba ya CCM kwa kuwatoa Viongozi na Marais Wastaafu kwenye Central Committtee ili apate nguvu nyingi binafsi
2 Alishindwa kutuachia Katiba mpya pamoja na kutumia Mabilioni ya fedha za walipa Kodi
3.Jakaya ndiye alikuwa Mwenyekiti wa Kamati Kuu iliyomingiza Magufuli kuwamo kwenye 5 Bora
4. UDHAIFU wake ndiyo uliopelekea CCM kutaka mtu mbabe!
5. Aliendekeza BIFU lake binafsi na LOWASSA

My take: We are here BECAUSE of JAKAYA KIKWETE and don't include BWM

In God we Trust
 
Khantwe ana nywele ndefu siku hizi ?
@khantwe angekuwa na nywele ndefu kama huyo mbona tungekoma [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

"رمضان كريم وصوم مقبول"
 
Back
Top Bottom