Utani, mzaha

japhet nkwabi

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
91
Reaction score
15
mi nadhani kama huna chakuandika unaacha au uanenda kwenye jukwaa la jokes,fikria mtu anaandika eti anataka mume wa miaka 70 KWELI?? mi mwenyewe sijapata baby mpaka leo kwa ajili ya utani badilikeni jamani
 
japhet nkwabi kumbe toka siku ile ulikua unatafuta mke halafu haukupata?

Chakarika kaka utapata tu maana huku jamvini vimwana wamejaa tele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…