japhet nkwabi
Member
- Mar 8, 2013
- 91
- 15
mi nadhani kama huna chakuandika unaacha au uanenda kwenye jukwaa la jokes,fikria mtu anaandika eti anataka mume wa miaka 70 KWELI?? mi mwenyewe sijapata baby mpaka leo kwa ajili ya utani badilikeni jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.