VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
hata kama asipoamini lakini kunakuwa na doubt na kukiwa na doubt jamaa asingekuwa amelala hotelini leo..., unajua kwenye mapenzi watu huwa hatufikiri kwa kichwa bali kwa moyo so hata kama ni uongo mtu atapenda aamini sababu ukweli utamuumiza kuliko ukweli...mmmh! Kuamini hii inabidi bibie awe na kichwa cha panzi.
mmmh! Kuamini hii inabidi bibie awe na kichwa cha panzi.
Pole sana mkuu,utani kama huu haufai hata kidogo.Kwa nini umemzoeza mke wako kusoma MESSAGE zako?
nakumini wewe tu ulimwengu mzima.mmmh..kumbe huamini amini eeh?
ehh yaan kosa apo umeliona la kumwachia mke wake kusoma msg zake?
wanaume wanaojiamini na wasio na mawaa HAWANA SABABU ZA KUFICHA FICHA SIMU ZAO
Inaonekana Mangi si mzoefu kusema uongo, ndo mana yakamkuta hayo.Unajua sometimes ukweli unaonekana ni uongo kuliko ukweli.., kwahiyo hapo mtu inabidi ufanye kila kitu ili kuokoa ndoa, na hapo akili inabidi ifanye kazi..., kwahiyo angeanza kwa kucheka sana angekuwa anacheka huku akili inafanya kazi
uongo unafariji eeh! Ngoja nifikirie.So sometimes wenza huwa wanaomba Mungu hata asikie uongo ili ajifariji
kuna mdada mmoja ofisini ni dirvocee huwa namsikia anaongea na waume za watu kwenye phone, yaani napata hasira on behalf. Anaongelea mambo ya faragha kabisa so tempting. Afu akimaliza anasema huyu kijana tunatanianaga. Ni full matusi. Ni sawa na kuangalia movie za x na mume/mke wa mtu. Maanake asojua kuwa matani yanaamasisha nani?
huyo dada nipatie namba yake aisee
matani ya hivyo mi ndo ugonjwa wangu lol