VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
hata kama asipoamini lakini kunakuwa na doubt na kukiwa na doubt jamaa asingekuwa amelala hotelini leo..., unajua kwenye mapenzi watu huwa hatufikiri kwa kichwa bali kwa moyo so hata kama ni uongo mtu atapenda aamini sababu ukweli utamuumiza kuliko ukweli...mmmh! Kuamini hii inabidi bibie awe na kichwa cha panzi.
So sometimes wenza huwa wanaomba Mungu hata asikie uongo ili ajifariji kuliko kukaa kimya unaconfirm so angefanya kama nilivyosema sasa hivi angekuwa anakula raha na mrs