Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mods watakuwa wamemsaidia kuliweka, mwanzo halikukuwepo. Na hata hivyo hatukasirikii wagonjwa...hamnazo huyu, kwani hukumsikia Rage?Ktk heading kuna neno UTANI, hivi kwasukwasu mnaliona hilo neno au mnapanic tu??
Acha utani wa ngumi dogoMkiambiwa Ustaarabu anauweza Simba SC tu muwe mnaamini. Wachezaji wa Yanga SC leo wamepanda tu Ndege wameshuka na Mali za Ndege na sasa nasikia baadhi yao wanapekuliwa hivyo Vitu. Mpaka sasa Mchezaji Molinga amekutwa na Keki kadhaa katika Begi lake huku Kocha wao Zahera amekutwa na Headphones za hiyo Kampuni ya Ndege husika.
Hivi kwanini Yanga SC mnatuaibisha hivi Sisi Watanzania? Ni lini mmesikia Simba SC hasa Wachezaji wake ambao wameshazoea hadi Kuchoka Kupanda Ndege wakiiba hovyo Vitu vilivyomo ndani ya Ndege? Sijui mpoje yaani nyie nyie ni Masikini na nyie nyie tena ni Wezi ndani ya Ndege.
Halafu kwa Uwizi huu wa Wachezaji wenu ndani ya Ndege leo ndiyo mnataka Simba SC tuwaungeni mkono na tuwashangilieni?