Chief Sam
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 2,483
- 4,675
Tayari mmeshawapiga uko?Aah wapi sisi Algeria tunawapiga 2_0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari mmeshawapiga uko?Aah wapi sisi Algeria tunawapiga 2_0
Inabidi east Africa tujitafakali tujue kipaji chetu ni nini hasa?.Ata ivo kundi letu ni la amsa amsa.Afu walivyowakatili wakatupanga tunyongane tena [emoji2][emoji2][emoji2]Algeria wametutia adabu 0-2 hehehe tukubali Afrika mashariki hatujui mpira na haitokuja siku, yaani nimehuzunika...
Inabidi east Africa tujitafakali tujue kipaji chetu ni nini hasa?.Ata ivo kundi letu ni la amsa amsa.Afu walivyowakatili wakatupanga tunyongane tena [emoji2][emoji2][emoji2]
Warudi tu mana kesi za koroshow na jiwe hazijaisha wanaanza na mpira.Tuwaachie Western uko si turudi kwenye porojo zetuMimi huwa siamini kwenye hayo ya kuogopa kundi ulilopangiwa, maana umekwenda kule kutwaa ushindi na kunyanyua kombe, sasa uanze kuogopa baadhi ya timu kisa kundi, ila kiukweli timu za EAC zirudi tu, wanyongane kisha warudi...manina zao.
mengine muwe mnatusaidia kuyapa ukweli humu kama hivi,yanawaza siasa muda wote tu.Koma siasa wewe. Ikifika ni taifa weka tofauti zako kando [emoji23]
Watanzania ndiyo inabidi tujitafakari kujua kipaji chetu, maana Uganda wako vizuri kwenye soka na hata riadha, Wakenya nao wako vizuri sana kwenye riadha na rugby. Watanzania tumefeli kwenye michezo yote...Inabidi east Africa tujitafakali tujue kipaji chetu ni nini hasa?.Ata ivo kundi letu ni la amsa amsa.Afu walivyowakatili wakatupanga tunyongane tena [emoji2][emoji2][emoji2]
Bora Wakenya, mkichapwa kwenye mpira mnajifariji kwenye riadha. Sisi ni full majanga...Mimi huwa siamini kwenye hayo ya kuogopa kundi ulilopangiwa, maana umekwenda kule kutwaa ushindi na kunyanyua kombe, sasa uanze kuogopa baadhi ya timu kisa kundi, ila kiukweli timu za EAC zirudi tu, wanyongane kisha warudi...manina zao.
Sisi za kwetu zilikuwa ni Yale mashindano ya uchi ya big brother africa nayo yamefutwa. Sikuhizi siyaoniWatanzania ndiyo inabidi tujitafakari kujua kipaji chetu, maana Uganda wako vizuri kwenye soka na hata riadha, Wakenya nao wako vizuri sana kwenye riadha na rugby. Watanzania tumefeli kwenye mchezo yote...
😁 😁 😁 umenikumbusha! Nakubaliana na wewe, hapo tulikuwa tunawaburuza...Sisi za kwetu zilikuwa ni Yale mashindano ya uchi ya big brother africa nayo yamefutwa. Sikuhizi siyaoni
Mmewacharaza bakora 2?Aah wapi sisi Algeria tunawapiga 2_0
Ha ha haaaUganda doing better. Sema DRC ni timu ya kawaida tu sisi kenya na tz ndio wametuonea kabisa
hata kushiriki ni maffanikiop pia,mbona ilipita muda mrefu saa bila timu kutoka Afrika ya Mashariki kushiriki,kwa mfano sisi Tz imepita mikaa 30 tangu tushiriki,inapasa tuangalie ni namna gani twaweza kuboresha hiki tulichokipata,ni wakati sasa akina Msonye na wenzie waangalie namna ya kuboresha mpira wetu katika ukanda huu.Algeria wametutia adabu 0-2 hehehe tukubali Afrika mashariki hatujui mpira na haitokuja siku, yaani nimehuzunika...
Bora Wakenya, mkichapwa kwenye mpira mnajifariji kwenye riadha. Sisi ni full majanga...
Wenzetu Uganda wanajua mpira.Algeria wametutia adabu 0-2 hehehe tukubali Afrika mashariki hatujui mpira na haitokuja siku, yaani nimehuzunika...
Algeria wametutia adabu 0-2 hehehe tukubali Afrika mashariki hatujui mpira na haitokuja siku, yaani nimehuzunika...
Haya tunakusikiliza. 🧐Ntaongea after Kenya against Algeria
Naomba matokeo 😁😁😁Senegal 2-0 Tanzania .