Utani pembeni: Taifa stars kwa kwenda mbele, Afrika mashariki tuko nyuma yenu

Inabidi east Africa tujitafakali tujue kipaji chetu ni nini hasa?.Ata ivo kundi letu ni la amsa amsa.Afu walivyowakatili wakatupanga tunyongane tena [emoji2][emoji2][emoji2]

Mimi huwa siamini kwenye hayo ya kuogopa kundi ulilopangiwa, maana umekwenda kule kutwaa ushindi na kunyanyua kombe, sasa uanze kuogopa baadhi ya timu kisa kundi, ila kiukweli timu za EAC zirudi tu, wanyongane kisha warudi...manina zao.
 
Warudi tu mana kesi za koroshow na jiwe hazijaisha wanaanza na mpira.Tuwaachie Western uko si turudi kwenye porojo zetu
 
Kenya na Tz ni watoto wa baba mmoja si unaona tunavyofanana!

Tz imepigwa 2-0 na wakenya nao wamebugizwa 2-0

Hii ni hatari sana mashekhe wangu!

Tunafeli wapi?
 
Inabidi east Africa tujitafakali tujue kipaji chetu ni nini hasa?.Ata ivo kundi letu ni la amsa amsa.Afu walivyowakatili wakatupanga tunyongane tena [emoji2][emoji2][emoji2]
Watanzania ndiyo inabidi tujitafakari kujua kipaji chetu, maana Uganda wako vizuri kwenye soka na hata riadha, Wakenya nao wako vizuri sana kwenye riadha na rugby. Watanzania tumefeli kwenye michezo yote...
 
Mimi huwa siamini kwenye hayo ya kuogopa kundi ulilopangiwa, maana umekwenda kule kutwaa ushindi na kunyanyua kombe, sasa uanze kuogopa baadhi ya timu kisa kundi, ila kiukweli timu za EAC zirudi tu, wanyongane kisha warudi...manina zao.
Bora Wakenya, mkichapwa kwenye mpira mnajifariji kwenye riadha. Sisi ni full majanga...
 
Watanzania ndiyo inabidi tujitafakari kujua kipaji chetu, maana Uganda wako vizuri kwenye soka na hata riadha, Wakenya nao wako vizuri sana kwenye riadha na rugby. Watanzania tumefeli kwenye mchezo yote...
Sisi za kwetu zilikuwa ni Yale mashindano ya uchi ya big brother africa nayo yamefutwa. Sikuhizi siyaoni
 
Algeria wametutia adabu 0-2 hehehe tukubali Afrika mashariki hatujui mpira na haitokuja siku, yaani nimehuzunika...
hata kushiriki ni maffanikiop pia,mbona ilipita muda mrefu saa bila timu kutoka Afrika ya Mashariki kushiriki,kwa mfano sisi Tz imepita mikaa 30 tangu tushiriki,inapasa tuangalie ni namna gani twaweza kuboresha hiki tulichokipata,ni wakati sasa akina Msonye na wenzie waangalie namna ya kuboresha mpira wetu katika ukanda huu.
 
Algeria wametutia adabu 0-2 hehehe tukubali Afrika mashariki hatujui mpira na haitokuja siku, yaani nimehuzunika...

Mimi huwa sikubaliani na wakenya kwenye hili,
Kwanini when it comes to shame lazima mhusishe East Africa nzima ikiwa kuna Uganda wanapiga kandanda Safi kabisa?
Mzee talk about your problems individually.
Kila mtu apambane na hali yake. Hata congo amefungwa 2Nil ila huweI fananisha Congo na Kenya, Ni kama mbingu na Dunia.

Btw, Hivi vipigo kwa ke na tz vimefanya humu leo kuna utulivu sana, najaribu kuimagine kama Kenya au Tanzania angetoa hata sare halafu mwingine akapigwa hizo mabao.
Pasingetosha humu[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…