UTANI TU

UTANI TU

Joined
Nov 23, 2017
Posts
42
Reaction score
99
Kuna mtu kaniambia anauza simu ina uwezo wa kurekodi kila kitu hadi harufu, sasa lazima hii niininue,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bamwanga Jr
 
Unataka kurekodi harufu ya nini?
 
Kipindi Mkulu anaintroduce sera ya viwanda alijua kama hii nchi ina watu kama mleta mada?
 
Back
Top Bottom