Utani ukizidi huleta mazoea mabaya. Usiruhusu kudharauliwa eti ni utani

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
2,912
Reaction score
12,904
Utani ni nini?

Utani ni maneno ya mzaha ila yenye ukweli fulani ndani yake.

Makazini na vibaruani kwetu au sehemu za starehe tumekuwa tukitaniana, tunacheka tunagonga tano na maisha yanaendelea.

Lakini wengi tunaambiwa maneno ya kweli kupitia utani.

Si kila kabila hutaniwa, wengine huchukia na kupelekea kugombana, mtanie unayemmudu tu, watu wa Pwani wanaongoza Kwa kupenda utani zaidi kuliko makabila mengine.

Mwenzangu na Mimi unaweza kurusha ngumi ila ndiyo hivyo, ukitaniwa juwa umewahiwa na wewe tafuta siku muwahi jamaa yako mpe za uso ili ufurahishe nafsi yako.

~ Utaambiwa unaishi na mwanamke kama mama yako, ni utani ila inauma kwani ni kweli unaishi na mshangazi.

~ Utaambiwa wewe unaandama (kutembea Kwa miguu)ni kweli si huna usafiri wa uhakika?

~ Utaambiwa hapo kazini kwako upo Tu kwasababu ya ndumba na uchawi ila huna lolote ni maneno ya kweli ila inabidi ucheke tu ni utani.

~ Utaambiwa unagongewa na wahuni, itakuchoma ila ni utani huna namna.

~ Utaambiwa Una gono tena mbele za watu pengine unaoheshimiana nao,ila ni matokeo ya utani.

~ Mtu atakuja kwako atamkumbatia mkeo na kuact anaondoka naye, najua utakwazika ila utajikaza na kujichekesha ni utani utafanyaje.

~ Mtu atakunyang'anya funguo za gari lako kimasihara tu, ataingia mtaani atarudisha baada ya masaa matano, Utachukia kimoyomoyo ila huna cha kufanya ni utani mmejiwekea.

~ Utadharaulika na kuambiwa usikopeshwe bidhaa fulani huwa haulipi, basi muuzaji hatakukopesha kweli aliyesema hayo atafurahi ni sehemu ya utani, najua utakwazika ila utafanyaje.

Usiruhusu utani kupitiliza wewe na washikaji, marafiki na watu wengine weka mipaka na misimamo ya kweli.

Wengi watakuchana, watakwambia ukweli, watakudharau kupitia kitu kinaitwa UTANI.
 
Utani naupenda ila sio kazini kwa sababu kazini watu wanapenda kufuatiliana ,sitaki mtu anijue ,bora kutaniana na vijana wadogo wa maskani.

Kwenye huo utani wanachomekea meseji zao za ukweli .

Kingine , kutaniana na mwanamke hapana siwezi ,nikiona kashaanza nazoea namlia buruzi.​
 
Utani ni nini?

Utani ni maneno ya mzaha ila yenye ukweli fulani ndani yake.

Makazini na vibaruani kwetu au sehemu za starehe tumekuwa tukitaniana, tunacheka tunagonga tano na maisha yanaendelea.

Lakini wengi tunaambiwa maneno ya kweli kupitia utani.

Si kila kabila hutaniwa, wengine huchukia na kupelekea kugombana, mtanie unayemmudu tu, watu wa Pwani wanaongoza Kwa kupenda utani zaidi kuliko makabila mengine.

Mwenzangu na Mimi unaweza kurusha ngumi ila ndiyo hivyo, ukitaniwa juwa umewahiwa na wewe tafuta siku muwahi jamaa yako mpe za uso ili ufurahishe nafsi yako.

~ Utaambiwa unaishi na mwanamke kama mama yako, ni utani ila inauma kwani ni kweli unaishi na mshangazi.

~ Utaambiwa wewe unaandama (kutembea Kwa miguu)ni kweli si huna usafiri wa uhakika?

~ Utaambiwa hapo kazini kwako upo Tu kwasababu ya ndumba na uchawi ila huna lolote ni maneno ya kweli ila inabidi ucheke tu ni utani.

~ Utaambiwa unagongewa na wahuni, itakuchoma ila ni utani huna namna.

~ Utaambiwa Una gono tena mbele za watu pengine unaoheshimiana nao,ila ni matokeo ya utani.

~ Mtu atakuja kwako atamkumbatia mkeo na kuact anaondoka naye, najua utakwazika ila utajikaza na kujichekesha ni utani utafanyaje.

~ Mtu atakunyang'anya funguo za gari lako kimasihara tu, ataingia mtaani atarudisha baada ya masaa matano, Utachukia kimoyomoyo ila huna cha kufanya ni utani mmejiwekea.

~ Utadharaulika na kuambiwa usikopeshwe bidhaa fulani huwa haulipi, basi muuzaji hatakukopesha kweli aliyesema hayo atafurahi ni sehemu ya utani, najua utakwazika ila utafanyaje.

Usiruhusu utani kupitiliza wewe na washikaji, marafiki na watu wengine weka mipaka na misimamo ya kweli.

Wengi watakuchana, watakwambia ukweli, watakudharau kupitia kitu kinaitwa UTANI.
Utani kwangu hapana.
 
Kusema ukweli watu wa pwani wanapenda sana utan,,,unaweza ukatukwanwa hanithi we naendakum-fi-ra mkeo,kama haujazoea utapigana ngumi...ila ndio mifumo yao hiyo ila binafsi sipendi utani kabisa au masihara nimekua katika mazingira yasiyo zingatia utani ,,,
 
Kuna mkaka alimtania demu wake kakeketwa mpk akaamua kuvua pichu atuhakikishie 😹😹

Mara pap baada ya kutuaminisha, nae akamwambia bwanake ana pumbu moja.. watu oyoooooo.!! Zamu yake atuonyeshe.!! 😹

Aliweza sasa?? Kumbe jamaa kweli ana pumbu moja 🤣🤣😹
 
🤣🤣🤣🤣
 
Nije na mandazi au chapati 😂
 
Back
Top Bottom