Utani: UKUTA umefanyika ingawa si na walengwa. Hongereni watanzania wenzangu kwa amani yetu!

Utani: UKUTA umefanyika ingawa si na walengwa. Hongereni watanzania wenzangu kwa amani yetu!

viongozi wa dini ndiyo wanaipandisha? mnatumia Fantoom?
siyo viongozi wa dini tu. unajua kama alivyosema tupatupa hapo juu, huu mziki unachezwa na watanzania woote kila mmoja kwa namna yake. hivi hapa mimi na wewe tunaendelea kuucheza huu mziki kuelekea October mosi. wengine wanaucheza kwa kufanya usafi, au kutangaza siku ya kupanda miti. wengine wanaucheza kwa kukamatwa kutiwa misukosuko, kufunga kula, kufungiwa vituo vya redio, kufungiwa magazeti, matamko makali, vichwa vya habari magazetini kila leo, nk. mwisho wa siku tunaamini kwamba busara itatawala na katiba na sheria vitaheshimiwa. hakuna kitu unapewa kwenye sahani kamanda. inabidi upambane.
 
Ukiona kiongozi wa polisi amesifia jambo upinzani bila kulazimishwa jua hali ilikua mbaya sana kwa upande wao. Kamanda Sirro" Nawasifu sana viongozi wa chadema kwa uzalendo wao wa hali ya juu"
Kama haujui AFANDE mwenye dharau basi ni SIRRO. Kamjambisha LISSU mpaka akamuita dikteta MTUKUFU, chezea wewe. Kauli yake ni ya kuwasanifu, hakuna cha viongozi wa dini kumuona rais wala nini, oktoba mosi ni jamba jamba tena.
 
siyo viongozi wa dini tu. unajua kama alivyosema tupatupa hapo juu, huu mziki unachezwa na watanzania woote kila mmoja kwa namna yake. hivi hapa mimi na wewe tunaendelea kuucheza huu mziki kuelekea October mosi. wengine wanaucheza kwa kufanya usafi, au kutangaza siku ya kupanda miti. wengine wanaucheza kwa kukamatwa kutiwa misukosuko, kufunga kula, kufungiwa vituo vya redio, kufungiwa magazeti, matamko makali, vichwa vya habari magazetini kila leo, nk. mwisho wa siku tunaamini kwamba busara itatawala na katiba na sheria vitaheshimiwa. hakuna kitu unapewa kwenye sahani kamanda. inabidi upambane.
wengine wako katika kazi zao za kawaida , mnaohangaika ni nyie mnaobadili GIA angani. Polisi, Wakuu wa mikoa, na UKUTA nani aliyeingia mitini? mngetia timu tu mujionee? Mfalme weu kawafanya mazezeta na zile t-shirt za sept. 1 mnazipeleka wapi au ndo kama SARE za msibani marehemu akishazikwa zinaishia hapo?
 
Hatuna mfalme, tuna viongozi. CCM wana watawala. kimsingi viongozi wa dini ndio wameshika kete kwa sasa. labda itokee vingine
Mnaye mfalme JUHA, jana haukuona alivyo wabadilishia GIA angani na wakati sIku zote wimbo wenu ulikuwa UKUTA UKO PALEPALE
 
Back
Top Bottom