siyo viongozi wa dini tu. unajua kama alivyosema tupatupa hapo juu, huu mziki unachezwa na watanzania woote kila mmoja kwa namna yake. hivi hapa mimi na wewe tunaendelea kuucheza huu mziki kuelekea October mosi. wengine wanaucheza kwa kufanya usafi, au kutangaza siku ya kupanda miti. wengine wanaucheza kwa kukamatwa kutiwa misukosuko, kufunga kula, kufungiwa vituo vya redio, kufungiwa magazeti, matamko makali, vichwa vya habari magazetini kila leo, nk. mwisho wa siku tunaamini kwamba busara itatawala na katiba na sheria vitaheshimiwa. hakuna kitu unapewa kwenye sahani kamanda. inabidi upambane.