CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Mtamaliza misamiati yote lakini ukweli mlibebwaLeo Yanga imecheza na timu mbili twins, Simba na Azzam.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtamaliza misamiati yote lakini ukweli mlibebwaLeo Yanga imecheza na timu mbili twins, Simba na Azzam.
Ni kweli tulibebwa maana magoli yote mawili ya Feitoto nimeangalia marudio yalikuwa offside.Mtamaliza misamiati yote lakini ukweli mlibebwa
Haha goli kafungwa Azam wanaweweseka kanji fc...utadhani sio wenyewe waliolazwa na viatu na Mayele juzi juzi tu.Ni kweli tulibebwa maana magoli yote mawili ya Feitoto nimeangalia marudio yalikuwa offside.
Kwahiyo wewe upo hapa ili kutafuta wa kumlaumu? Tofauti na walikuleta dunia sidhani kama una yoyote wa kumlaumu, wewe ishi kivyako huko.Umeandika kwa hisia sana mpaka hueleweki unamlaumu nani.!