nikolas digala
Member
- Aug 7, 2016
- 42
- 25
Nilifikiri nimeona maajabu yote kwa dunia hii.. but jana ninemwona kijana mmoja mwenye umri wa miak 16 kaingia baa na kuagiza 4 bottle of heineken na kuzinywa zoote na kukuanza kuondoka, muhudumu wa baa alimsimamisha na kumtaka alipie huduma aliyoipata ..bila kuchelewa jamaa alitoa chet chake cha kuzaliwa na kumwonyesha muhudumu kisha akamjibu Hairusiwi kuuzwa kwa mtu mwenye umri chini ya miaka 18.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124]