Utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu.

Hivi hao shemeji zenu mnapata wapi muda wa kuzoeana nao hivi?
Maana katika hangaika ya huku na kule sikumbuki kama nimewahi kaa karibu na shemeji yangu akanizoea hivyo.

Kama unaishi kwa kaka yako yakianza haya inabidi uhame ukapange.
Kama kaka yako bado yuko home na ameoa mwambie akapange mtaa aishi na mkewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biblia inasema ikimbie znaa umefanya vema kijana usije kwa namna yoyote ukamsalit kaka yako ikiwezekana mwambie shemej yako aache ujinga ila unapoongea naye jtahd kurekord bila kujua maana anaeza akaanza kukufanyia vsa kwamba labda unamtaka kimapenz ili mrad akuharibie kaka yako ko jtahd sana kuwa makn sana akiwa anafanya ujinga wake jarbu kuwa na rekod s kwa nia mbaya ila hii inaeza kukusaidia wakat wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shemeji shemeji mbona wazima taaa.
Ukubwa wote huo bado wakaa kwa kaka ako?? kubwa zima hivyo? Acha ujinga hama haraka
 
Kule katoka BAFUNI kaanguka Khanga imemdondoka.

Huku Shemeji.

Wewe jamaa una NYOTA kali sana
 
Una nyota ya kufirwa na kaka yako mtoa mada.
 
Ikimbieni zinaa, hama hapo usikae tena na kaka yako. Kama anakusaidia kimasomo basi anaweza kukusaidia hata ukiwa mbali
nimekimbia kiongozi ....nilienda kwa muda kibanda kilibomolewa kimara...hivo nkajihifadhi wakati nasaka house..sasa nko fresh nasaka kupandisha kibanda kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…