PACHO HERRERA
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 460
- 527
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nshafanikiwa kuhama mkuu na sijala..bora nile ya jirani ila sio ya kakaShemeji yako ana nyege mdundio. Mkuu usile chakula cha kaka. Halafu uhame kwa kaka pia
Sent using Jamii Forums mobile app
nimekimbia kiongozi ....nilienda kwa muda kibanda kilibomolewa kimara...hivo nkajihifadhi wakati nasaka house..sasa nko fresh nasaka kupandisha kibanda kingineIkimbieni zinaa, hama hapo usikae tena na kaka yako. Kama anakusaidia kimasomo basi anaweza kukusaidia hata ukiwa mbali
umri wa utu uzima mkuu..nko 25+ and < 29