mr chakubanga
Senior Member
- Oct 16, 2017
- 124
- 260
mkuu nimeshindwa kuthubutu nimekimbia na sijasema kitu kuepusha migogoro na kuchonganisha.....
ina sukari lakini
duniani vitu vinafanana tu mkuu
kwa kweli nishakimbia...nimeenda kutana na mtihani kwingine na nkafeli..kwa kaka nilifaulu kukwepaBiblia inasema ikimbie znaa umefanya vema kijana usije kwa namna yoyote ukamsalit kaka yako ikiwezekana mwambie shemej yako aache ujinga ila unapoongea naye jtahd kurekord bila kujua maana anaeza akaanza kukufanyia vsa kwamba labda unamtaka kimapenz ili mrad akuharibie kaka yako ko jtahd sana kuwa makn sana akiwa anafanya ujinga wake jarbu kuwa na rekod s kwa nia mbaya ila hii inaeza kukusaidia wakat wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
mapito tu kwa kaka nilikaa kwa muda tu...kibanda changu kilipitiwa na bulldozerMsaada wa tuition na gharama zake - JamiiForums
Msichana niliyemsomesha, hanitaki tena, kapata mchumba mwingine - JamiiForums
Umemaliza secondary miaka 23 iliyopita umemsomesha msichana then unakaa kwa kaka yako daah wana JF kwa fix [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app