Utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu.

Utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu.

Biblia inasema ikimbie znaa umefanya vema kijana usije kwa namna yoyote ukamsalit kaka yako ikiwezekana mwambie shemej yako aache ujinga ila unapoongea naye jtahd kurekord bila kujua maana anaeza akaanza kukufanyia vsa kwamba labda unamtaka kimapenz ili mrad akuharibie kaka yako ko jtahd sana kuwa makn sana akiwa anafanya ujinga wake jarbu kuwa na rekod s kwa nia mbaya ila hii inaeza kukusaidia wakat wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa kweli nishakimbia...nimeenda kutana na mtihani kwingine na nkafeli..kwa kaka nilifaulu kukwepa
 
Back
Top Bottom