Utani wa watangazaji Diva na Mbwiga Ambugwike mwanzoni mwa kipindi cha Ala za Roho utakuja kuzua kitu

Anaitwa Diva malinzi Dina mariosi ni mtangazaji wa E fm
 
Mwanadada mwenye sauti ya kumnyofoa nyoka shimoni, Diva wa clouds FM wamekuwa wakitaniana sana na Mzee Mbwiga Ambugwike ambaye Mara kipindi cha michezo kiishapo usiku hubaki kwa muda akianza kumtania Diva. Ooohh Mara beibeeehh, Mara mtoto mzuurriiii, mtoto mlaiiiinnii, Mara umependeza nk. Ikumbukwe wanawake wanapenda kusifiwa. Naona Mbwiga atakuja kupita pale. Yangu macho!!!

unaskia wivu eeh, ulitaka kupitiwa wewe?.
 
Picha zao hamna?

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Mwanadada mwenye sauti ya kumnyofoa nyoka shimoni, Diva wa clouds FM wamekuwa wakitaniana sana na Mzee Mbwiga Ambugwike ambaye Mara kipindi cha michezo kiishapo usiku hubaki kwa muda akianza kumtania Diva. Ooohh Mara beibeeehh, Mara mtoto mzuurriiii, mtoto mlaiiiinnii, Mara umependeza nk. Ikumbukwe wanawake wanapenda kusifiwa. Naona Mbwiga atakuja kupita pale. Yangu macho!!!

Kama huna uzi wa kuleta ni bora ukalale, hayo ya hao yanakuhusu nini?
 
Kweli namba zinasomeka ,Uzi gani huu.. Mleta Uzi Mara ya mwisho kuona papuchi ilikuwa lini?

Sent From Kisana Kiki Iphone
 
Back
Top Bottom