PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,224
Mwanadada mwenye sauti ya kumnyofoa nyoka shimoni, Diva wa clouds FM wamekuwa wakitaniana sana na Mzee Mbwiga Ambugwike ambaye Mara kipindi cha michezo kiishapo usiku hubaki kwa muda akianza kumtania Diva. Ooohh Mara beibeeehh, Mara mtoto mzuurriiii, mtoto mlaiiiinnii, Mara umependeza nk. Ikumbukwe wanawake wanapenda kusifiwa. Naona Mbwiga atakuja kupita pale. Yangu macho!!!

Sijakuelewa ww fala
Sasa matusi ya nn kwani umeona mm nimetukana hapo mbona watu sio wastaarabu , soma ulichocomment halafu soma hiyo quote yangu , hata kama sio mstaarabu jifunze sio kila comment ni matusi huo mdomo uheshimuSijakuelewa ww fala
Na huyo Baba anaitwa Mbwiga Mbwiguke....majina anabandika tu anavyojisikia.Anaitwa Diva malinzi Dina mariosi ni mtangazaji wa E fm