Utani wa Watani wa Jadi

Utani wa Watani wa Jadi

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Ati mpaka leo OBREY CHIRWA bado yuko Uwanja wa uhuru akishangalia goli alilofunga dhidi ya Mtibwa Sugar...

Kesho YANGA VS AZAM FC Nani atatoka anacheka Je Kibarua cha kocha wa Azam kitazidi kuwa hatarini zaidi??

Tusubiri.
 
Mwaka huu ukitaka kuifunga Simba uwe na idea ya Netball kidogo
 
Back
Top Bottom