Utanunua Refublished au Used?

Kitu ambacho wengi hawajashtuka....

Refurb za Flagship ndio zinaongoza kwa kuharibika mapema kuliko refurb za midrange (A-Series) .

Hii ni kwa Samsung, nyingine Sina uzoefu.
Refurbished za midrange nyingi zinatoka Ulaya Mashariki, Simu kama A55 official haipo Nchi nyingi kubwa so refurbished yake nayo haitoki huko.

Refurbished ya flagship unakuta imeuzwa Usa, ikawa refurbished, Usa Waka chukua nzuri nzuri Mabaki yakaenda China nao Waka chagua nzuri, zikaenda Dubai nako zinakachaguliwa chaguliwa mwisho tunaletewa sisi Mabaki.

Ukinunua refurb Direct ebay kwa muuzaji mwenye rating kubwa nadra kupata issue kubwa.
 
Tofauti ya refub and used ni ndogo mno. Moja ilikuwa mbovu ikarekebishwa na kupewa waranty wakati nyingine ilikuwa ikitumika ikapelekwa sokoni bila warranty

Ooint zote zimetumika, hakuna mbadala. Chaguo ni lako
 
Kuna Mlolongo Sana Wa Matumizi, Huku Tunatumia Vibudu Tu Siku Zinasonga
 
Katika maisha yangu ya kumiliki simu now ndio namiliki flagship kutoka samsung inayokaa sana na chaji mpaka inanistaajabisha ni s20 5g clean sana haina dot huichemki hapa nimepata sijakosea simu lainiii kama yai
 
Inatumia Line Ngapi Hiyo Simu
 
Katika maisha yangu ya kumiliki simu now ndio namiliki flagship kutoka samsung inayokaa sana na chaji mpaka inanistaajabisha ni s20 5g clean sana haina dot huichemki hapa nimepata sijakosea simu lainiii kama yai
S20 technically ni nzur kuliko 21
 
Katika maisha yangu ya kumiliki simu now ndio namiliki flagship kutoka samsung inayokaa sana na chaji mpaka inanistaajabisha ni s20 5g clean sana haina dot huichemki hapa nimepata sijakosea simu lainiii kama yai
Uliinunua wapi au kwa njia gani mkuu?
 
Nunua A55 5g hutojutia kaka ni moja ya flagship ambayo bei yake ya kawaida ila perfomance yake kubwa sana kwenye video na hata ukitaka kuedit video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…