Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Refurbished za midrange nyingi zinatoka Ulaya Mashariki, Simu kama A55 official haipo Nchi nyingi kubwa so refurbished yake nayo haitoki huko.Kitu ambacho wengi hawajashtuka....
Refurb za Flagship ndio zinaongoza kwa kuharibika mapema kuliko refurb za midrange (A-Series) .
Hii ni kwa Samsung, nyingine Sina uzoefu.
Refurbished ya flagship unakuta imeuzwa Usa, ikawa refurbished, Usa Waka chukua nzuri nzuri Mabaki yakaenda China nao Waka chagua nzuri, zikaenda Dubai nako zinakachaguliwa chaguliwa mwisho tunaletewa sisi Mabaki.
Ukinunua refurb Direct ebay kwa muuzaji mwenye rating kubwa nadra kupata issue kubwa.